Sera ya Faragha — TSAH

2026-06-15

TSAH inahifadhi data za shule, wanafunzi, walimu na wazazi kwa usimamizi wa kitaaluma na ada.

Data

Jina, darasa, alama, mahudhurio, simu ya mzazi, malipo — zinatumika ndani ya shule yako na kwa huduma ya TSAH.

Usalama

Tumia HTTPS, nenosiri imara, na backup. Data haiuzwi kwa wahusika wengine.

Soma kuhusu mfumo · Masharti · Ingia